Serikali ya Nigeria yachunguza mauaji ya zaidi ya watu

  • | KBC Video
    Serikali ya Nigeria inachunguza mauaji ya zaidi ya watu 40 yaliyotekelezwa na kundi la wanamgambo kaskazini mashariki ya nchi hiyo. Duru zinaashiria kuwa wanamgambo hao waliwafunga wakulima wa mpunga kabla ya kuwaua katika mji mkuu wa jimbo la Borno. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mseto wa habazi zetu za kimataifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive