Serikali ya Nyamira yahimiza kila mkaazi kupata chanjo ya korona

  • | Citizen TV
    213 views

    Serikali ya kaunti ya Nyamira kupitia idara ya afya imezindua mpango wa kuweka chanjo ya korona kuwa kati ya chanjo zitakazotolewa kwa wenyeji kila mwaka.