Serikali ya Samburu yasambaza ngamia kwa wakazi

  • | Citizen TV
    288 views

    Kiangazi cha kila mara ambacho huwahangaisha wafugaji na kuwaacha kukadiria hasara baada ya mifugo kufa,kimeishinikiza serikali ya Kaunti ya Samburu kusambaza Ngamia Kwa wafugaji ili kuwaondolea dhiki ambayo huwafika kunapotokea ukame. Aidha serikali ya kaunti ya Samburu imewaonya wafugaji waliopata Ngamia hao kutowauza.