Serikali ya Somali yaondoa umarufuku ya uuzaji wa miraa kutoka Kenya

  • | K24 Video
    19 views

    Serikali ya Somali itaondoa marufuku ya uuzaji wa miraa kutoka kenya. Hii ni baada ya mazungumzo ya kina baina ya rais Uhuru Kenyatta na rais mpya wa somalia Hassan Sheikh Mohamud. Waziri wa kilimo Peter Munya ametangaza kuwa marais hao wawili walikubaliana kuwa kenya itauza miraa Somalia nayo Somalia itauza vyakula vinavyotoka baharini wakiwemo samaki nchini kenya. Biashara hizo zinatarajiwa kuanza wiki mbili zijazo.