Serikali ya Somaliland yafungua ofisi ya Ubalozi jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    1,458 views

    Serikali ya Somaliland imefungua afisi yake mpya ya ubalozi jijini Nairobi siku chache baada ya wizara ya maswala ya kigeni kukataa kutoa idhini ya hafla hiyo. Rais mpya wa Somaliland Abdirahman Abdullahi alifungua rasmi afisi huyo muda mfupi baada ya kukutana na Rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi.