Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya T. Nzoia yashirikiana na taasisi zinazounda sodo za kutumika zaidi ya mara moja

  • | Citizen TV
    39 views
    Serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia imeongeza juhudi na kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wasichana katika eneo hilo hawakosi kuhudhuria masomo kutokana na ukosefu wa sodo wakati wa hedhi. Waziri wa Elimu katika kaunti hiyo, Janerose Mutama, anasema tayari wameanzisha mpango wa kushirikiana na baadhi ya vyuo vya mafunzo anuai ili kuanza kutengeneza sodo za kutumika kwa zaidi ya mara moja.