- 31,609 viewsDuration: 30sSerikali ya Tanzania imefunga ushahidi wake kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA Tundu Lissu . Kupitia wakili wa serikali Nassoro Katuga taarifa ya maombi ya kuufunga ushahidi huo iliwasilishwa mahakamani. Serikali imesema kwamba mashahidi 17 ambao mpaka sasa wametoa ushahidi kwa upande wao wanatosha. Awali upande wa serikali ulikuwa umeitaarifu mahakama kuwa inamashahidi 30. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw