Serikali ya Trans Nzoia kubuni jopo la kutathmini ujenzi

  • | Citizen TV
    67 views

    Serikali ya kaunti ya trans nzoia inalenga kubuni jopo la kutathmini matumizi ya pesa za ujenzi kwenye hospitali ya rufaa ya kitale. Ujenzi huo umegharimu shillingi billioni moja nukta sita.