Serikali ya ufaransa yamtuza mkenya Chris Mburu, mwanzilishi wa kijiji cha Kifaransa Githunguri

  • | KBC Video
    64 views

    Serikali ya ufaransa imemtuza Chris Mburu ambaye ni mwanzilishi wa kijiji cha wazungumzaji kifaransa cha Mitahato huko Githunguri kwa nishani ya mtu wa kuheshimika wa kifaransa kutokana na kazi yake ya kipekee ya kuimarisha lugha ya kifaransa nchini Kenya. Kijiji cha Mitahato sasa kimekuwa kivutio cha watalii hasa wale wanazoungumza lugha ya kifaransa wanaofika kufurahia utamaduni wa eneo hilo unaoonyeshwa kwa lugha ya kifaransa kutokana na juhudi za Mburu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive