Serikali ya Uganda yawaachilia huru wafugaji wa Turkana waliokamatwa kwa kumiliki bunduki kiharamu

  • | KBC Video
    31 views

    Serikali ya Uganda imewaachilia huru wafugaji 11 wa Turkana ambao walikamatwa miezi mitano iliyopita kwa kumiliki bunduki kiharamu wakiwa nchini Uganda. Geoffrey Apedor ambaye aliongoza ujumbe wa amani hadi wilaya ya Moroto nchini Uganda kuwapokea wafugaji hao ,alitoa wito wa utangamano baina ya jamii zinazoishi mpakani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #turkana #dirayamagwiji