Serikali yaagiza wanaoishi karibu na mito kuhama

  • | Citizen TV
    1,440 views

    Serikali imetoa tahadhari kwa maelfu ya wakenya wanaoishi karibu na mito na maeneo yaliyo chini katika kaunti 16 nchini. Wakaazi wa maeneo haya sasa wakiagizwa kuhamia sehemu za juu huku wizara ya usalama sasa ikisema tayari bwawa la masinga limejaa na kuanza kutoa maji zaidi. Haya yakijiri huku familia 22 katika eneo la Kibera na zingine 11 kaunti ya Kirinyaga pia zimeathirika na mafuriko