Serikali yaahidi kuchunguza mkasa wa ndege

  • | K24 Video
    78 views

    Rais William Ruto,ameahidi wakenya kuwa hakuna mauaji ya kiholela yatakazolenga kiongozi yeyote katika utawala wake rais amewahakikishia wote wenye maswali na shauku kuhusu ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha Francis Ogolla kuwa uchunguzi wa kina utafanywa kubaini ukweli wa mambo