Serikali yaahidi kulipa madeni ya wafanyakazi wa viwanda vya sukari

  • | Citizen TV
    249 views

    Serikali sasa inasema italipa deni la shilingi bilioni tano nukta sita kwa wafanyakazi wa viwanda vinne vya sukari, ambavyo vimekodeshwa kwa muda wa miaka thelathini. Katika ripoti iliyochapishwa na wizara wa kilimo, deni hilo litalipwa polepole kwa muda wa mwaka mmoja. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, mpango huo unatarajiwa kufufua sekta ya sukari humu nchini na kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo muhimu.