Serikali yaahidi kuwa pesa za inua jamii hazitacheleweshwa tena

  • | Citizen TV
    839 views

    Pesa hizo huwasaidia wakongwe na watu wanaoishi nanulemavu. akizungumza mjini Thika kaunti ya Kiambu katika hafla ya kutoa viti vya magurudumu, katibu katika idara ya masuala ya kijamii Joseph Motari alisema pesa hizo zitakuwa zikitolewa tarehe 15 kila mwezi kama alivyoelekeza rais William Ruto. Msaada huo wa viti vya magurudumu ulitolewa na shirika lisilo la serikali la Hope Mobility Kenya.