Serikali yaahidi kuwalipia majeruhi bili za matibabu

  • | Citizen TV
    436 views

    Watu 280 waliojeruhiwa kwenye mlipuko wa gesi katika eneo la mradi mtaani Embakassi East wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali tofauti.