Serikali yaahidi kuwatia mbaroni polisi waliomuua Ojwang

  • | Citizen TV
    5,153 views

    Rais William Ruto amesema serikali yake haitawavumilia maafisa wa polisi ambao hawafuati sheria. Rais amesema kwamba maafisa wa usalama ni sharti wawajibike katika kulinda maisha ya wakenya.