Serikali yaandaa hafla ya kutibu mifugo mbalimbali bila malipo kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    489 views

    Huku serikali ikijitahidi kupiga jeki shughuli za kilimo na kuimarisha mapato ya ufugaji mashinani, serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na washikadau mbalimbali wameandaa hafla ya kutibu mifugo mbalimbali bila malipo