Serikali yabatili agizo la kuzuia upanzi wa mahindi Njoro

  • | Citizen TV
    Serikali imebadili msimamo wake kutekeleza marufuku ya kupanda mahindi katika maeneo ya Nessuit, Mariashoni na mengine yaliyopakana na Njoro,kaunti ya Nakuru ,mwezi moja baada ya marufuku hiyo kuwekwa.