Serikali yabatilisha leseni za watengenezaji pombe

  • | Citizen TV
    190 views

    Serikali imebatilisha leseni zote za wanaotengeneza pombe za kiwango cha pili nchini. Kwenye msururu wa maagizo mapya yanayolenga kudhibiti biashara ya vileo na kukabili uuzaji wa pombe haramu, waziri wa usalama kithure kindiki ameagiza wafanyibiashara hao waombe upya leseni.