Serikali yabomoa nyumba mtaani milimani kaunti ya Kakamega

  • | Citizen TV
    2,019 views

    Makundi ya Kidini katika kaunti ya Kakamega yamelalamikia hasara inayotokana na ubomoaji wa nyumba za watu binafsi katika eneo la Milimani, wakidai kwamba zoezi hilo linabagua na kulenga viongozi wa Upinzani.