Serikali yachimba visima vya maji Pokot Magharibi

  • | KBC Video
    1 views

    Ni afueni kwa jamii ambazo zimekuwa zikikabiliwa na uhaba mkubwa wa maji katika kaunti ya Pokot Magharibu baada ya serikali kuanza kuchimba visima vya maji kupitia halmashauri ya ustawi wa Bonde la Kerio.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive