Serikali yaendelea kutoa tahadhari kuhusiana na mvua ya El-Nino

  • | K24 Video
    107 views

    Serikali inaendelea kutoa tahadhari kuhusiana na mvua ya El-Nino, inayotarajiwa kunyesha kuanzia wakati wowote. Wakati huohuo zaidi ya watu elfu 200 walio kando kando ya mito ya Nairobi, huenda wakaondolewa makwao na mvua hiyo, kulingana na ripoti ya idara ya dharura ya kaunti ya Nairobi.