Serikali yaendelea kuwaondoa wanaoishi kwenye mikondo ya maji

  • | Citizen TV
    3,200 views

    Maeneo mengi nchini yanazidi kukabiliwa na athari za mafuriko. Katika kaunti ya TANA RIVER, Mto Tana ambao umejaa kupita kiasi umeathiri wakazi wanaoshi karibu na mto huo. Aidha, serikali imeendeleza shughuli za kuwafurushwa wakazi wanaoshi karibu na mito katika eneo la Mukuru Kayaba kama anayoarifu Ben Kirui.