10 Sep 2025 1:09 pm | Citizen TV 153 views Duration: 1:33 Serikali kupitia wizara ya elimu na ile ya fedha imetakiwa kuhakikisha Shule za umma zinapata mgao wa fedha za elimu Kwa wakati ufaao.