Serikali yahimizwa kuongeza ufadhili kwa mipango ya kushughulikia waathiriwa wa ugonjwa wa 'autism'

  • | KBC Video
    19 views

    Baraza la kitaifa la watu walio na ulemavu limetoa wito kwa serikali kuongeza pesa za kufadhili mipango ya kushughulikia watu walio na ulemavu na waathiriwa wa ugonjwa wa tawahudi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti kuhusu ugonjwa huo, Mkurugenzi wa baraza hilo Harun Hassan alisema walemavu wengi hawapati Elimu bora na huduma za afya kutokana na ukosefu wa raslimali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive