Serikali yahimizwa kutoa mafunzo kwa madereva

  • | KBC Video
    73 views

    Chama cha wamiliki wa Matatu kimeitaka serikali kutumia taasisi zake za mafunzo kutoa mafunzo kwa wahudumu wa magari ya usafiri wa umma ili kusaidia kurejesha nidhamu katika sekta ya uchukuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive