Serikali yahimizwa kuwelekeza fedha zaidi katika sekta ya elimu ili kusaidia wanafunzi wasiojiweza

  • | KBC Video
    41 views

    Baadhi ya wazazi katika eneo bunge la Limuru, kaunti ya Kiambu wametoa wito kwa serikali kuwelekeza fedha zaidi katika sekta ya elimu ili kusaidia wanafunzi wasiojiweza ambao wanahangaika kupata elimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive