Serikali yaiamuru KEMSA kutoa vifaa kinga vilivyo katika mabohari yao

  • | NTV Video
    Ni pigo kwa taasisi ya uigizaji vifaa vya matibabu KEMSA baada ya serikali kuiamuru kutoa vifaa kinga vilivyo katika mabohari yake kwa wahudumu wa afya kwa bei ya sasa. Vifaa kinga hivyo maarufu 'PPE's' vimekuwa katika mabohari hayo huku uchunguzi kuhusu sakata ya KEMSA ukiendelea. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya