- 392 viewsDuration: 2:36Serikali sasa imeidhinisha ujenzi wa miundombinu ya unyunyuziaji wa maji katika eneo la Ahero kaunti ya Kisumu, ambayo itatumia nishati za jua. Akihudhuria hafla ya kukagua ujenzi wa mtambo wa sola, waziri wa maji Eric Mugaa alielezea umuhimu wa unyunyuziaji katika kuimarisha uwepo wa lishe humu nchini