Serikali yajenga barabara ili kupunguza uhalifu Samburu

  • | Citizen TV
    106 views

    Serikali ya Kaunti ya Samburu imeanza mchakato wa kukarabati barabara ,kama njia Moja wapo ya kukomesha visa vya uhalifu na wizi wa mifugo vilivyosalia kutatiza jamii za wafugaji tangu jadi