Skip to main content
Skip to main content

Serikali yakalia kimya sakata ya pasipoti za makamanda wa Sudan waliokiuka sheria

  • | Citizen TV
    1,143 views
    Duration: 2:47
    Jioni ya leo serikali bado imesalia kimya kuhusiana na utumizi mbaya wa mamlaka katika idara ya usalama na ile ya uhamiaji kwa madai ya kutoa paspoti za Kenya kwa wapiganaji wa Sudan. Wizara hizi mbili bado hazijatoa taarifa yoyote hadi sasa, haswa kuhusiana na vyeti vya usafiri vilivyotolewa kwa wapiganaji wa RSF wa Sudan na hata raia wa Zimbwabwe.