Serikali yakusanya maoni kuhusu marekebisho ya sheria

  • | Citizen TV
    311 views

    Serikali kupitia ofisi ya Mwanasheria mkuu inaendeleza vikao vya umma kukusanya maoni ambayo yanalenga kufanyia marekebisho sheria tatu ikiwemo ile ya kukabilina na ufisadi, ile ya kuwalinda wafichuzi wa ufisadi pamoja na sheria ya kuongoza vikao vya kutoa maoni ya umma