- 895 viewsDuration: 1:45Serikali inalenga kuboresha miundo mbinu katika sekta ya uchukuzi kama njia moja wapo ya kupiga jeki sekta hiyo na ile ya uchumi wa taifa. Bandari ya Mombasa pamoja na barabara kuu zinazounganisha Kenya na mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki zikilengwa zaidi ili kupanua uchumi wa taifa.