Serikali yamzawadi Faith Kipyegon shilingi milioni tano na nyumba kufuatia ushindi wake

  • | Citizen TV
    1,044 views

    Serikali imemzawadi mwanariadha Faith Kipyegon shilingi milioni 5 na nyumba ya gharama ya shilingi milioni 6, kufuatia ushindi wake baada ya kuvunja rekodi mbili za dunia katika muda wa juma moja. Kipyegon alishinda mbio za mita 1,500 nchini italia na mita 5,000 nchini Ufaransa.