Serikali yanuia kuwashirikisha vijana kujenga taifa

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali imeelezea kujitolea kwake kukuza talanta, tija na ubunifu miongoni mwa vijana humu nchini. Akizindua mkakati wa baraza la kitaifa la vijana, katibu katika wizara ya masuala ya vijana na uchumi bunifu, Ismail Maalim alisema mkakati huo unaendana na ruwaza ya nchi hii ya kuwezesha vijana kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive