Serikali yapanga kukarabati visima na kujenga mabwawa

  • | K24 Video
    129 views

    Wizara ya maji, usafi wa mazingira na unyunyiziaji inapanga kutoa suluhisho la kudumu katika maeneo yanayoendelea kukumbwa na ukame hasa kaskazini mashariki. Wizara inapanga kukarabti visima 400 pamoja na kujenga mabwawa katika eneo hilo.