Serikali yapania kutekeleza bima mpya ya afya kwa jamii kuanzia mwezi ujao

  • | Citizen TV
    479 views

    Wakenya watakatwa asilimia 2.75 ya mishahara yao kila mwezi, kuanzia mwezi ujao wa Machi ili kugharamia bima mpya ya afya kwa jamii SHIF. Waziri wa Afya Susan Nakhumicha aliyasema haya katika kaunti ya Bungoma wakati wa kuzindua mikakati ya kupambana na tishio la maambukizi ya HIV, mimba za utotoni na dhuluma za kimapenzi.