Serikali yapiga marufuku uchimbaji madini ya Tsavorite

  • | Citizen TV
    1,148 views

    Serikali ya kitaifa kupitia wizara ya madini imepiga marufuku uuzaji wa madini aina ya Tsavorite hasa katika mataifa ya kigeni kwani hakuna aliyepewa leseni ya kuuza madini hayo.