Serikali yapinga tuhuma za wizi kwenye e-Citizen

  • | Citizen TV
    1,066 views

    SERIKALI SASA INASEMA HAKUNA FEDHA ZILIZOPOTEA KATIKA MFUMO WA SERIKALI WA MALIPO, E-CITIZEN, IKIELEZA KWAMBA WIZARA HUSIKA ZIMEWEKA MIKAKATI YA KUTOSHA KUZUIA UBADHIRIFU WA MALI YA UMMA, HASWA BAADA YA MWAKA WA 2023.