Serikali yaraiwa kuongeza mgao wa fedha za kaunti

  • | Citizen TV
    222 views

    Serikali ya kitaifa inashinikizwa kuongeza mgao wa fedha za kaunti ili kutatua migoma ya mara Kwa mara ya wahudumu wa afya nchini.