Serikali yasambaza neti za mbu kwenye Kaunti 22 kwa nia ya kukomesha malaria

  • | KBC Video
    9 views

    Halmashauri ya usambazaji dawa na vifaa vya matibabu ‘KEMSA’, imezindua mradi wa usambazaji wingi vyandarua vya mbu vilivyotiwa dawa ya kudumu katika kaunti ya Baringo kwa hisani ya mpango wa kitaifa wa Malaria. Mradi huo unaofadhiliwa na hazina ya ulimwengu kwa ushirikiano na wizara ya afya, inalenga kaunti 22 katika usambazaji wa vyandarua milioni 10.9 vya mbu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive