27 Oct 2025 10:34 am | Citizen TV 184 views Duration: 2:24 Serikali imeanzisha mpango wa kusambaza nguvu za umeme katika maeneo ya mashinani kaunti ya Pokot Magharibi ili kusisimua uchumi wa eneo hilo lililosalia nyuma kimaendeleo kwa kipindi kirefu.