Serikali yasema hakuna mabadiliko katika mgao kwa shule

  • | KBC Video
    108 views

    Waziri wa elimuMigosi Ogamba amekariri kwamba sera ya serikali kuhusu mgao wa fedha kwa wanafunzi wa shule za sekondari haijabadilika licha ya wasiwasi unaoongezeka kuhusiana na kupunguzwa kwa ufadhili katika kiwango cha shule.. Akiwahutubia wanahabari kaitka kaunti ya Kisii waziri Ogamba alisema kuwa mgao rasmi wa wizara hiyo kwa kila mwanafunzi utasalia kuwa shilingi 22,244, kiasi kilichowekwa chini ya mpango wa elimu ya shule za sekondari za kutwa bila malipo lakini akakiri kwamba kuna vikwazo vya bajeti katika kutimiza kiasi hicho kutokana na ongezeko la idadi ya wanafunzi. Hata hivyo Ogamba anapendekeza kujumuishwa pamoja kwa basari zote za elimu ili kushughulikia ongezeko la idadi ya wanafunzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive