Serikali yasema iko ange kupambana na ulanguzi wa fedha

  • | KBC Video
    27 views

    Wizara ya fedha na mipango imesema serikali ya Kenya iko ange kukabiliana na biashara ya ulanguzi wa pesa. Kenya imetajwa kuwa miongoni nchi zilizotepetea katika kuchunguza na kuwashtaki washukiwa wa biashara haramu ya pesa.Akiongea kwenye mkutano unaoendelea wa kukabiliana na biashara haramu ya pesa katika kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika eneo la Diani kaunti ya Kwale, katibu katika wizara ya fedha, Chris Kiptoo alisema mapato kutokana na ulanguzi wa pesa hutumiwa kufadhili makundi ya kigaidi ambavyo hutatiza udhabiti wa mataifa husika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive