Serikali yasema inawawezesha 'mahasla' kiuchumi ilivyoahidi

  • | Citizen TV
    1,193 views

    Viongozi wa Kenya kwanza wakiongozwa na Naibu Rais Kithure Kindiki, wameteta mipango wa uwezeshaji wa kiuchumi unaondeshwa na serikali nchini. Haya yanajiri baada ya viongozi wa upinzani kutilia shaka chanzo cha mamillioni ya pesa yanayotolewa na Wanasiasa Serikalini katika mikutano hiyo ya uwezeshaji. Melita Oletenges anaarifu zaidi.