Serikali yasema maandamano yalikuwa ni ya kisiasa

  • | Citizen TV
    7,344 views

    Serikali sasa inasema maandamano ya Gen z ya hapo jana yalikuwa majaribio ya kupindua serikali. Waziri wa usalama wa Kitaifa Kipchumba Murkomen akisema baadhi ya wanasiasa walifadhili maandamano hayo katika juhudi za kuondoa serikali ya Rais Ruto mamlakani.