6 Aug 2026 1:21 pm | Citizen TV 176 views Duration: 1:26 Serikali imesisitiza marufuku ya uagizaji wa sukari kutoka nje na kusitisha utoaji wa leseni mpya za uagizaji huku maandalizi ya uchaguzi wa wakurugenzi wa wakulima katika Bodi ya Sukari yakiendelea