Serikali yasitisha uuzaji wa Flamodip Amlodipine 5mg

  • | KBC Video
    25 views

    Serikali imeagiza kuondolewa kwa shehena nambari FLD303 ya dawa za Flamodip Amlodipine 5mg, kutoka kwenye maduka kutokana na kile inachosema ni hitilafu katika urajamishaji. Kupitia taarifa, bodi ya kudhibiti dawa na sumu imesema shehena ya pili ya dawa hizo zinazotengenezwa na kampuni ya Medico Remedies PVT zimewekwa rajamu ya Flamodip - 5 Amlodipine wakati shehena ya kwanza imewekwa nembo ya Flamonopri-5 Enalapril.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive