Serikali yatahadharisha dhidi ya maandamano na uharibifu wa mali kuhusiana na mswada wa fedha

  • | KBC Video
    28 views

    Serikali imesema haitaruhusu maandamano na uharibifu wa mali kuhusiana na matokeo ya msawada wa kifedha wa mwaka 2023 bungeni. Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki amesma viongozi wa humu nchini wanapaswa kutumia taasisi zilizoko kutatua lalama zao.Kindiki aliyekuwa akiongea katika kaunti ya Tharaka Nithi pia ametofautiana na wale wanaopinga kudhibitiwa kwa shughuli za mashirika ya kidini akisema jopokazi lilobuniwa halina nia kuingilia uhuru wa kuabudu, bali kuwathibiti wahubiri wanaotumia dini kwa njia potovu kwa manufaa ya binafsi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kindiki #darubiniwikendi