Serikali yataka muda zaidi wa mazungumzo ya masuala ibuka yanayosababisha mgomo wa wahudumu wa afya

  • | Citizen TV
    133 views

    Serikali inaitaka mahakama kuipa siku 30 zaidi kuzungumzia masuala ibuka yanayosababisha mgomo wa wahudumu wa afya.